Fasihi Simulizi Ya Kiswahili Pdf995

Fasihi simulizi ya kiswahili pdf995

Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na hisia za binadamu kama vile maneno, maandishi, uchoraji, uchongaji, ufinyanzi n.

Fasihi simulizi ya kiswahili pdf995

Mafumbo ni kauli zenye maana iliyofichika na hujumuisha vitendawili na chemshabongo. Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. July 18, views.

Fasihi Simulizi Notes Pdf Download

Fasihi Simulizi Notes Pdf Download Fasihi ni sanaa inayotumia lugha kuwasilisha ujumbe unaomhusu binadamu. Fasihi simulizi ni sanaa kwa vile: Huwasilisha ujumbe kuhusu binadamu kuhusu utamaduni na uchumi.

Huwa na umbo mahsusi k. Hutumia lugha kwa ufundi k. Hujenga wahusika kwa ustadi mkuu ili kusawiri tabia za watu katika jamii.

fasihi kiswahili 01

Fasihi andishi Fasihi inayowasilishwa kwa njia ya maandishi. Fasihi simulizi huhifadhiwa akilini ilhali fasihi aandishi huhifadhiwa kwa maandishi.

Fasihi simulizi ina wahusika wa kila aina k.

Fasihi simulizi ina tanzu nyingi kuliko fasihi andishi. Uwasilishaji wa fasihi simulizi huweza kuandamana na utendaji k. Fasihi simulizi huwasilishwa mbele ya hadhira ilhali fasihi andishi si lazima iwasilishwe mbele ya hadhira.

Fasihi simulizi huwasilishwa mahali maalum k. Fasihi simulizi huandamana na shughuli fulani ya kitamaduni ilhali fasihi andishi haiandamani na shughuli ya kitamaduni.

RIWAYA YA KUSISIMUA

Fasihi andishi huhitaji muda kutunga ilhali baadhi ya fasihi simulizi huzuka papo hapo k. Fasihi simulizi ina uwezo mkubwa wa kubadilishwa na fanani anapowasilisha ufaraguzi bali fasihi andishi haibadiliki isipokuwa mwandishi aiandike upya. Fasihi simulizi ina historia ndefu kuliko fasihi andishi kwa kuwepo tangu mwanzo wa maisha ya binadamu Fasihi simulizi huwasilishwa wakati maalum k. Tofauti kati ya hadhira Hadhira ya fasihi simulizi huweza kuwasiliana moja kwa moja na mwasilishaji ilhali ile ya fasihi simulizi sio lazima iwasiliane na mwandishi.

Hadhira huchangia katika uwasilishaji wa fasihi simulizi k.

Descargar el diario secreto de susi pdf

Hadhira ya fasihi simulizi huonana na mwasilishaji ilhali ile ya fasihi andishi si lazima ionane na mwandishi. Hadhira ya fasihi simulizi ni kubwa kuliko ile ya fasihi andishi kwani huhusisha hata wasiojua kusoma na kuandika. Hadhira ya fasihi simulizi ni hai yaani inajulikana na fanani ilhali ile ya fasihi simulizi si hai yaani haijulikani na mwandishi. Hadhira ya fasihi simulizi hainunui kazi ilhali ile ya fasihi andishi hununua kazi.

Hadhira ya fasihi simulizi yaweza kumiliki kazi ya fanani lakini ile ya fasihi andishi haiwezi kumiliki kazi ya mwandishi. Hadhira ya fasihi simulizi huchagua kwa kulenga watu wa rika fulani lakini ile ya fasihi andishi hailengi watu wa rika yoyote. Jinsi Fasihi Simulizi na Andishi Zinavyofanana Zote mbili hushughulikia masuala yanayohusu maisha maisha ya binadamu. Zote mbili Huhumia lugha kwa ubunifu kuwasilisha maudhui.

Umuhimu wa Fasihi Simulizi

Zote mbili huwa na vipengele viwili vikuu, maudhui na fani jumla ya mbinu msanii alizotumia kuwasilisha maudhui. Zote mbili majukumu sawa k. Zote mbili zina utendaji-pale tamthilia na riwaya zinapoigizwa. Zote mbili huzaliwa, hukua na hufa kutegemea mabadiliko ya wakati. Zote mbili huwa na wawasilishaji-fanani k.

Fasihi Simulizi

Fasihi simulizi imekopa tanzu za fasihi simulizi k. Kufariji k. Vipengele vya fasihi simulizi k.

Fasihi simulizi ya kiswahili pdf995

Kuhifadhi historia ya jamii k. Kukejeli tabia zinazokiuka matarajio ya jamii k. Kuendeleza tamaduni za jamii kwani husawiri imani na desturi za jamii. Kuunganisha watu pamoja kwa kuwajumuisha pamoja wakati wa ngoma, kuimba, utambaji, n. Kukuza lugha k. Kukuza uwezo wa kutumia lugha kadiri mtu anapoendelea kuwasilisha k.

Kuza uwezo wa kubuni k. Kukuza uzalendo kwa kufanya wanajamii kuonea fahari jamii zao na kuiga mashujaa au watu waliotendea jamii makuu. Kuonya na kutahadharisha wanajamii dhidi ya tabia hasi k.

Sifa za Fasihi Simulizi

Fanani kusahau na kubadilisha yaliyomo na mtiririko. Kubadilisha ili kukidhi mahitaji ya hadhira k. Kutoeleweka na hivyo kuhifadhiwa vibaya. Mabadiliko ya wakati k. Mabadiliko ya falsafa ya vizazi na maingiliano katika jamii kusababisha kurithisha tu yale ambayo ni muhimu na kuacha mengine. Ubunifu wa fanani ili uwasilishaji uweze kuvutia saidi na uwezo wake wa lugha. Teknolojia kusababisha kuhifadhiwa na hivyo kuiua.

Fasihi Simulizi Notes Pdf Download

Wahusika katika Fasihi Simulizi Wahusika ni viumbe wa sanaa ambao hutumiwa katika kazi ya fasihi kuwasilisha maswala mbalimbali. Fanani-anayetunga na kuwasilisha fasihi simulizi. Hadhira-kusikiliza, kutazama, kushiriki wa kuimba, kuuliza maswali, kutegua vitendawili, kupiga makofi, n. Wanyama-wanaofanya kama binadamu na kuwakilisha sifa kama vile ujanja, ulaghai, tamaa na ujinga na wanaobakia wanyama tu.

Binadamu Mazimwi na majitu-viumbe vyenye matendo na maumbile ya kutisha kama vile jicho moja, vichwa viwili au zaidi, nusu mtu na nusu myama, wenye tamaa iliyokithiri ya kuweza kumeza kila kitu, kuhifadhi na kutunza binadamu ananyoyapendeza. Wahusika vitu visivyo na uhai mawe, miti, vijaluba, vibuyu-hutumiwa kuibua imani za kidini.

FASIHI SIMULIZI YA KISWAHILI PDF KF 302 NA UTENDAJI KATIKA FASIHI SIMULIZI

Mizimu-roho za waliokufa-hutembea, hula na huathiri binadamu. Miungu-viumbe vyenye uwezo mkubwa dhidi ya binadamu k. Ni rahisi kurekodi k. Ni njia bora kwa wasiojua kusoma na kuandika Kuweza kupata sifa za uwasilishaji k. Kuweza kupata hisia halisi za uwasilishaji Udhaifu Shida ya mawasiliano. Ugeni wa mtafiti kusababisha washiriki kumshuku na kusitisha uwasilishaji Ghali kwa kumbidi mtafiti kusafiri huhitaji muda mrefu Kusikiliza wasanii wakiwasilisha tungo zao.

Umuhimu Kuweza kupata sifa za uwasilishaji k.

Kupata habari za kutegemewa na kuaminika. Kikwazo cha mawasiliano-Si njia bora kwa wasiojua kusoma na kuandika.

Natural history of religion pdfs

Kuweza kupata hisia halisi za uwasilishaji. Udhaifu Shida ya mawasiliano-Si njia bora kwa wasiojua kusoma na kuandika. Huhitaji muda mrefu-kusafiri na kusikiliza. Ugeni wa mtafiti kusababisha washiriki kutowasilisha ipasavyo. Ghali kwa gharama ya usafiri.

Fasihi simulizi ya kiswahili pdf995

Mahojiano Kuhoji wanaofahamu mengi kuhusu fasihi simulizi. Kuweza kufafanulia mhojiwa maswali ili kuweza kupata habari sahihi zaidi. Kuweza kupata sifa za uwasilishaji k. Kupata habari za kutegewa na kuaminika Udhaifu Huhitaji muda mrefu.

Mhojiwa kutotoa habari kwa kutomwamini mtafiti kwa ugeni wake. Kikwazo cha mawasiliano-si njia bora kwa wasiojua kusoma na kuandika.

Fasihi simulizi ya kiswahili pdf995

Mkusunyanyaji aweza kurudia uwasilishaji ikiwa hakuelewa. Kupata habari za kutegewa na kuaminika Kuweza kupata hisia halisi za uwasilishaji Udhaifu Chaweza kukosa nguvu za umeme na utafiti kuathirika. Hakiwezi kunasa uigizaji. Fanani huenda asiwasilishe vyema akijua anarekodiwa. Ghali kwa kuhitaji kununua kifaa na kumbidi mtafiti kusafiri.

Kurekodi kwa filamu na video Hunasa picha zenye miondoko na sauti. Kuonyesha uhalisi wa mandhari Mkusunyanyaji aweza kurudia uwasilishaji ikiwa hakuelewa Kazi iliyokusanywa hivi hudumu kwa muda mrefu. Njia bora kwa wasiojua kusoma na kuandika Kupata habari za kutegewa na kuaminika Udhaifu Chombo chaweza kukosa nguvu za umeme na utafiti kuathirika. Njia ghali.

Ghali kwa gharama ya ya usafiri na kununua filamu na kamera ya video. Data yaweza kufisidiwa na hivyo kutowafikia walengwa. Huweza kuhifadhi ishara. Kupata habari za kuaminiwa na kutegemeka. Udhaifu Ghali kwa gharama ya ya usafiri na kununua kamera.

Instrucciones para vivir en mexico ibarguengoitia pdf995

Sifa za uhai kama vile kiimbo haziwezi kuhifadhiwa. Yaweza kukosa nguvu za umeme na utafiti kuathirika.

Fasihi simulizi ya kiswahili pdf995

Data yaweza kufisidiwa na hivyo kutowafikia walengwa Kushiriki katika kazi ya fasihi simulizi k. Umuhimu Kuweza kupata hisia halisi za uwasilishaji. Kupata habari za kutegewa na kuaminika.